2 Nami nikamwona malaika mwingine akipanda kutoka mashariki,* akiwa na muhuri wa Mungu aliye hai; naye akawaambia kwa sauti kubwa wale malaika wanne waliopewa ruhusa ya kuidhuru dunia na bahari,
2 Nami nikamwona malaika mwingine akipanda kutoka mashariki,+ akiwa na muhuri wa Mungu aliye hai;+ naye akapaaza sauti kubwa kwa wale malaika wanne waliopewa ruhusa kuidhuru dunia na bahari,