-
Ufunuo 7:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Nami nikaona malaika mwingine akipanda kutoka macheo ya jua, akiwa na muhuri wa Mungu aliye hai; naye akalia kwa sauti kubwa kwa wale malaika wanne waliopewa ruhusa kudhuru dunia na bahari,
-