-
Ufunuo 11:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Na wale wanaokaa duniani wanashangilia juu yao na kusherehekea, nao watatumiana zawadi, kwa sababu hao manabii wawili waliwatesa watu wanaokaa duniani.
-