16 Na lile jiji lilikuwa mraba, na urefu wake ni mkubwa kama upana wake. Naye akalipima jiji kwa utete, stadia 12,000;* urefu wake na upana wake na kimo chake ni sawa.
16 Na jiji linakaa mraba, na urefu wake ni mkubwa kama upana wake. Naye akalipima jiji+ kwa utete, stadia elfu kumi na mbili; urefu wake na upana wake na kimo chake ni sawa.