Mambo ya Walawi 14:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Kisha atamchinja kondoo dume mchanga wa dhabihu ya hatia na kuchukua kiasi kidogo cha damu ya dhabihu ya hatia na kupaka ncha ya sikio la kulia la mtu anayejitakasa na kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia.+
25 Kisha atamchinja kondoo dume mchanga wa dhabihu ya hatia na kuchukua kiasi kidogo cha damu ya dhabihu ya hatia na kupaka ncha ya sikio la kulia la mtu anayejitakasa na kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia.+