25 Naye atamchinja yule kondoo-dume mchanga wa toleo la hatia, naye kuhani atachukua sehemu ya damu ya toleo la hatia na kuitia kwenye ncha ya sikio la kuume la yule anayejitakasa na kwenye kidole gumba cha mkono wake wa kuume na kwenye kidole kikubwa cha mguu wake wa kuume.+