8 Watu walikuwa wakienda kila mahali kuiokota, kisha waliisaga kwa mawe ya kusagia au waliitwanga kwenye kinu. Halafu waliichemsha katika vyungu vya kupikia au waliitumia kuoka mikate ya mviringo,+ na ladha yake ilikuwa kama ladha ya keki tamu iliyookwa kwa mafuta.