Hesabu 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Siku ya tatu na siku ya saba, mtu aliye safi atamnyunyizia maji hayo mtu asiye safi na kumtakasa dhambi yake siku ya saba;+ kisha atafua mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye atakuwa safi jioni.
19 Siku ya tatu na siku ya saba, mtu aliye safi atamnyunyizia maji hayo mtu asiye safi na kumtakasa dhambi yake siku ya saba;+ kisha atafua mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye atakuwa safi jioni.