Hesabu 19:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Na yule mtu aliye safi atayatapanya juu ya yule asiye safi siku ya tatu na siku ya saba na kumtakasa kutokana na dhambi yake siku ya saba;+ naye atayafua mavazi yake na kuoga katika maji, naye atakuwa safi jioni.
19 Na yule mtu aliye safi atayatapanya juu ya yule asiye safi siku ya tatu na siku ya saba na kumtakasa kutokana na dhambi yake siku ya saba;+ naye atayafua mavazi yake na kuoga katika maji, naye atakuwa safi jioni.