-
Mambo ya Walawi 14:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Siku ya saba anapaswa kunyoa nywele zote kichwani, ndevu zote, na kope zake. Baada ya kunyoa nywele zote, atafua mavazi yake na kuoga kwa maji, kisha atakuwa safi.
-
-
Hesabu 19:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Mtu huyo anapaswa kujitakasa kwa maji hayo siku ya tatu, na siku ya saba atakuwa safi. Lakini asipojitakasa siku ya tatu, hatakuwa safi siku ya saba.
-