Waamuzi 1:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Ndipo watu wa kabila la Yuda wakawaambia ndugu zao wa kabila la Simeoni, “Twendeni pamoja katika eneo tulilopewa*+ tukapigane na Wakanaani. Nasi tutaenda nanyi katika eneo mlilopewa.” Basi watu wa kabila la Simeoni wakaenda pamoja nao.
3 Ndipo watu wa kabila la Yuda wakawaambia ndugu zao wa kabila la Simeoni, “Twendeni pamoja katika eneo tulilopewa*+ tukapigane na Wakanaani. Nasi tutaenda nanyi katika eneo mlilopewa.” Basi watu wa kabila la Simeoni wakaenda pamoja nao.