-
Waamuzi 3:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Baada ya Ehudi kuondoka, watumishi wa mfalme walirudi na kuona milango ya chumba cha darini ikiwa imefungwa kwa ufunguo. Kwa hiyo wakasema, “Labda ameenda msalani katika chumba chake cha ndani.”
-