Waamuzi 8:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Ndipo akarudi kwa watu wa Sukothi na kuwaambia, “Ndio hawa Zeba na Zalmuna ambao mlinidhihaki kuwahusu mkisema, ‘Je, tayari umewakamata Zeba na Zalmuna ndipo tuwape mikate wanaume wako waliochoka?’”+
15 Ndipo akarudi kwa watu wa Sukothi na kuwaambia, “Ndio hawa Zeba na Zalmuna ambao mlinidhihaki kuwahusu mkisema, ‘Je, tayari umewakamata Zeba na Zalmuna ndipo tuwape mikate wanaume wako waliochoka?’”+