-
1 Samweli 1:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Basi Hana akamwambia, “Mtumishi wako na apate kibali machoni pako.” Ndipo mwanamke huyo akaenda zake, akala chakula, na uso wake haukuwa na huzuni tena.
-