1 Samweli 26:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Daudi akawaita kwa sauti wanajeshi hao na Abneri+ mwana wa Neri, akisema: “Abneri, unanisikia?” Abneri akajibu: “Wewe ni nani unayemwita mfalme?”
14 Daudi akawaita kwa sauti wanajeshi hao na Abneri+ mwana wa Neri, akisema: “Abneri, unanisikia?” Abneri akajibu: “Wewe ni nani unayemwita mfalme?”