Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Mke wa Sauli aliitwa Ahinoamu binti ya Ahimaazi. Mkuu wa jeshi lake aliitwa Abneri+ mwana wa Neri, ndugu ya baba ya Sauli.

  • 1 Samweli 17:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Sauli alipomwona Daudi akienda kupigana na Mfilisti huyo, alimuuliza hivi Abneri+ mkuu wa jeshi: “Abneri, mvulana huyu ni mwana wa nani?”+ Abneri akajibu: “Kwa hakika kama unavyoishi,* Ee mfalme, mimi sijui!”

  • 2 Samweli 2:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Lakini Abneri+ mwana wa Neri mkuu wa jeshi la Sauli, alikuwa amemchukua Ish-boshethi,+ mwana wa Sauli, akamvusha mpaka Mahanaimu+

  • 2 Samweli 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Abneri akakasirika sana kwa sababu ya maneno ya Ish-boshethi na kusema: “Je, mimi ni kichwa cha mbwa kutoka Yuda? Mpaka leo, nimeitendea kwa upendo mshikamanifu nyumba ya Sauli baba yako, ndugu zake, na rafiki zake, nami sijakusaliti kwa kukutia mikononi mwa Daudi; lakini leo unanishutumu kwa sababu ya kosa linalohusu mwanamke.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki