Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Mke wa Sauli aliitwa Ahinoamu binti ya Ahimaazi. Mkuu wa jeshi lake aliitwa Abneri+ mwana wa Neri, ndugu ya baba ya Sauli.

  • 1 Samweli 17:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Sauli alipomwona Daudi akienda kupigana na Mfilisti huyo, alimuuliza hivi Abneri+ mkuu wa jeshi: “Abneri, mvulana huyu ni mwana wa nani?”+ Abneri akajibu: “Kwa hakika kama unavyoishi,* Ee mfalme, mimi sijui!”

  • 1 Samweli 26:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Baadaye Daudi akaenda mahali ambapo Sauli alikuwa amepiga kambi, na Daudi akaona mahali ambapo Sauli na Abneri+ mwana wa Neri, mkuu wa jeshi lake, walikuwa wamelala; Sauli alikuwa amelala ndani ya kambi akiwa amezungukwa na wanajeshi.

  • 2 Samweli 4:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Ish-boshethi+ mwana wa Sauli aliposikia kwamba Abneri amekufa huko Hebroni,+ alipoteza ujasiri* na Waisraeli wote wakashikwa na wasiwasi.

  • 1 Wafalme 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 “Pia unajua vizuri jambo ambalo Yoabu mwana wa Seruya alinitendea, jambo alilowatendea wakuu wawili wa majeshi ya Israeli, Abneri+ mwana wa Neri na Amasa+ mwana wa Yetheri. Aliwaua, na hivyo akamwaga damu+ ya vita wakati wa amani, akapaka damu ya vita kwenye mshipi uliokuwa kiunoni mwake na kwenye viatu alivyokuwa amevaa miguuni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki