1 Samweli 26:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Naye Daudi akaanza kuwaita watu na Abneri mwana wa Neri, akisema: “Je, hutajibu, Abneri?” Kwa hiyo Abneri+ akajibu na kusema: “Wewe ni nani ambaye umemwita mfalme?”
14 Naye Daudi akaanza kuwaita watu na Abneri mwana wa Neri, akisema: “Je, hutajibu, Abneri?” Kwa hiyo Abneri+ akajibu na kusema: “Wewe ni nani ambaye umemwita mfalme?”