2 Wafalme 4:31 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 31 Gehazi akawatangulia, akaiweka ile fimbo juu ya uso wa mvulana huyo, lakini hapakuwa na sauti yoyote wala dalili yoyote.+ Basi akarudi kukutana na Elisha na kumwambia: “Mvulana hakuamka.”
31 Gehazi akawatangulia, akaiweka ile fimbo juu ya uso wa mvulana huyo, lakini hapakuwa na sauti yoyote wala dalili yoyote.+ Basi akarudi kukutana na Elisha na kumwambia: “Mvulana hakuamka.”