2 Wafalme 13:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Wanaume fulani walipokuwa wakimzika mtu, waliona kundi la wavamizi, kwa hiyo wakamtupa mara moja mtu huyo ndani ya kaburi la Elisha na kukimbia. Mtu huyo alipogusa mifupa ya Elisha, akafufuka+ na kusimama. 2 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 13:21 w05 8/1 11 2 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 13:21 Mnara wa Mlinzi (Funzo),12/2017, uku. 5 The Watchtower,8/1/2005, uku. 1111/15/1991, uku. 5
21 Wanaume fulani walipokuwa wakimzika mtu, waliona kundi la wavamizi, kwa hiyo wakamtupa mara moja mtu huyo ndani ya kaburi la Elisha na kukimbia. Mtu huyo alipogusa mifupa ya Elisha, akafufuka+ na kusimama.