2 Wafalme 13:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Na ikawa kwamba walipokuwa wakimzika mtu, tazama, wakaona kikundi cha waporaji. Wakamtupa mara moja yule mtu ndani ya kaburi la Elisha, wakaenda zao. Mtu yule alipoigusa mifupa ya Elisha, akawa hai+ mara moja na kusimama kwa miguu+ yake. 2 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 13:21 w05 8/1 11 2 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 13:21 Mnara wa Mlinzi (Funzo),12/2017, uku. 5 The Watchtower,8/1/2005, uku. 1111/15/1991, uku. 5
21 Na ikawa kwamba walipokuwa wakimzika mtu, tazama, wakaona kikundi cha waporaji. Wakamtupa mara moja yule mtu ndani ya kaburi la Elisha, wakaenda zao. Mtu yule alipoigusa mifupa ya Elisha, akawa hai+ mara moja na kusimama kwa miguu+ yake.