-
Esta 3:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Watumishi wote wa mfalme waliokuwa katika lango la mfalme walikuwa wakimwinamia na kumsujudia Hamani, kwa maana mfalme alikuwa ameamuru atendewe hivyo. Lakini Mordekai alikataa kumwinamia au kumsujudia.
-