Esta 8:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Zaidi ya hayo, Esta akazungumza tena na mfalme. Akaanguka chini miguuni pake, akalia na kumsihi mfalme akomeshe madhara ya Hamani Mwagagi na njama aliyopanga dhidi ya Wayahudi.+ Esta Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 8:3 w12 1/1 28-29 Esta Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 8:3 Igeni, uku. 143 Mnara wa Mlinzi,1/1/2012, kur. 28-29
3 Zaidi ya hayo, Esta akazungumza tena na mfalme. Akaanguka chini miguuni pake, akalia na kumsihi mfalme akomeshe madhara ya Hamani Mwagagi na njama aliyopanga dhidi ya Wayahudi.+