11 Ndugu na dada zake wote pamoja na rafiki zake wote wa zamani+ wakaja kwake na kula pamoja naye nyumbani mwake. Wakampa pole na kumfariji kwa sababu ya mateso yote ambayo Yehova alikuwa ameruhusu yampate. Kila mmoja wao akampa kipande cha fedha na pete ya dhahabu.