Isaya 30:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Nanyi mtaitia unajisi fedha inayofunika sanamu zenu za kuchongwa na dhahabu inayofunika sanamu zenu za chuma.*+ Mtazitupa mbali kama kitambaa cha hedhi na kuziambia, “Potelea mbali!”*+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 30:22 ip-1 310-311 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 30:22 Unabii wa Isaya 1, kur. 310-311
22 Nanyi mtaitia unajisi fedha inayofunika sanamu zenu za kuchongwa na dhahabu inayofunika sanamu zenu za chuma.*+ Mtazitupa mbali kama kitambaa cha hedhi na kuziambia, “Potelea mbali!”*+