Isaya 36:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Msikubali Hezekia awapotoshe akisema, ‘Yehova atatuokoa.’ Je, kuna mungu yeyote kati ya miungu ya mataifa ambaye amewahi kuiokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru?+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 36:18 ip-1 388 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 36:18 Unabii wa Isaya 1, uku. 388
18 Msikubali Hezekia awapotoshe akisema, ‘Yehova atatuokoa.’ Je, kuna mungu yeyote kati ya miungu ya mataifa ambaye amewahi kuiokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru?+