2 Ni nani amemwinua mtu kutoka mashariki,+
Akimwita katika uadilifu aje miguuni Pake,
Ili amkabidhi mataifa
Na kumfanya awatiishe wafalme?+
Ambaye anawafanya wawe mavumbi mbele ya upanga wake,
Kama majani makavu yanayopeperushwa na upepo mbele ya upinde wake?