Isaya 65:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Basi nitawaamulia muuawe kwa upanga,+Nanyi nyote mtainama chini ili mchinjwe,+Kwa sababu niliita, lakini hamkuitika,Nilizungumza lakini hamkusikiliza;+Mliendelea kutenda maovu machoni pangu,Nanyi mkachagua mambo yaliyonichukiza.”+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 65:12 w06 6/1 27-28; ip-2 378-379 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 65:12 Mnara wa Mlinzi,6/1/2006, kur. 27-28 Unabii wa Isaya II, kur. 378-379
12 Basi nitawaamulia muuawe kwa upanga,+Nanyi nyote mtainama chini ili mchinjwe,+Kwa sababu niliita, lakini hamkuitika,Nilizungumza lakini hamkusikiliza;+Mliendelea kutenda maovu machoni pangu,Nanyi mkachagua mambo yaliyonichukiza.”+