Isaya 65:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 “Hakutakuwemo tena ndani yake mtoto mchanga anayeishi siku chache tu,Wala mzee asiyetimiza siku zake. Kwa maana mtu anayekufa akiwa na miaka mia moja ataonwa kuwa mvulana tu,Na mtenda dhambi atalaaniwa, hata ingawa ana umri wa miaka mia moja.* Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 65:20 ip-2 384-385; w00 4/15 16 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 65:20 Mnara wa Mlinzi (Funzo),8/2018, uku. 11 Unabii wa Isaya II, kur. 384-385 Mnara wa Mlinzi,4/15/2000, uku. 162/15/1989, kur. 14-15
20 “Hakutakuwemo tena ndani yake mtoto mchanga anayeishi siku chache tu,Wala mzee asiyetimiza siku zake. Kwa maana mtu anayekufa akiwa na miaka mia moja ataonwa kuwa mvulana tu,Na mtenda dhambi atalaaniwa, hata ingawa ana umri wa miaka mia moja.*
65:20 Mnara wa Mlinzi (Funzo),8/2018, uku. 11 Unabii wa Isaya II, kur. 384-385 Mnara wa Mlinzi,4/15/2000, uku. 162/15/1989, kur. 14-15