-
Yeremia 22:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Utasema, ‘Sikia neno la Yehova, ewe mfalme wa Yuda unayeketi juu ya kiti cha ufalme cha Daudi, wewe pamoja na watumishi wako na watu wako, wale wanaoingia kupitia malango haya.
-