-
Yeremia 22:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 “Msimlilie aliyekufa,
Na msimsikitikie.
Badala yake, mlilieni sana yule anayeondoka,
Kwa maana hatarudi tena kuiona nchi alimozaliwa.
-