-
Yeremia 46:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Hata wanajeshi wake waliokodiwa walio kati yake ni kama ndama waliononeshwa,
Lakini wao pia wamegeuka na kukimbia pamoja.
-