Yeremia 50:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Kwa maana mliendelea kushangilia,+ mliendelea kufurahiMlipokuwa mkiupora urithi wangu mwenyewe.+ Kwa maana mliendelea kukanyagakanyaga kama ndama jike kwenye nyasi,Nanyi mkaendelea kulia kama farasi dume.
11 “Kwa maana mliendelea kushangilia,+ mliendelea kufurahiMlipokuwa mkiupora urithi wangu mwenyewe.+ Kwa maana mliendelea kukanyagakanyaga kama ndama jike kwenye nyasi,Nanyi mkaendelea kulia kama farasi dume.