Yeremia 52:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Nebuzaradani mkuu wa walinzi akawapeleka uhamishoni baadhi ya watu wa hali ya chini na watu wengine waliobaki jijini. Pia aliwachukua watu waliojisalimisha kwa mfalme wa Babiloni na pia mafundi stadi waliobaki.+ Yeremia Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 52:15 ip-2 405 Yeremia Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 52:15 Unabii wa Isaya II, uku. 405
15 Nebuzaradani mkuu wa walinzi akawapeleka uhamishoni baadhi ya watu wa hali ya chini na watu wengine waliobaki jijini. Pia aliwachukua watu waliojisalimisha kwa mfalme wa Babiloni na pia mafundi stadi waliobaki.+