-
Ezekieli 5:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Lakini wewe, mwana wa binadamu, chukua upanga mkali ili uutumie kama wembe wa kinyozi. Nyoa kichwa chako na ndevu zako, nawe uchukue mizani, uzipime nywele hizo na kuzigawa katika mafungu.
-