Ezekieli 5:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 “Na wewe, Ee Mwana wa binadamu, jichukulie upanga mkali. Utajichukulia ulio kama wembe wa kinyozi, nawe utaupitisha juu ya kichwa chako na juu ya ndevu zako,+ nawe utajichukulia mizani ya kupimia na kuzigawanya nywele hizo katika mafungu. Ezekieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:1 Ibada Safi, kur. 63-65 Mnara wa Mlinzi,9/15/1988, kur. 12-13
5 “Na wewe, Ee Mwana wa binadamu, jichukulie upanga mkali. Utajichukulia ulio kama wembe wa kinyozi, nawe utaupitisha juu ya kichwa chako na juu ya ndevu zako,+ nawe utajichukulia mizani ya kupimia na kuzigawanya nywele hizo katika mafungu.