-
Danieli 4:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 “‘Wewe mfalme ulimwona mlinzi, mtakatifu,+ akishuka kutoka mbinguni, aliyekuwa akisema: “Ukateni na kuuangusha chini mti huu na kuuharibu, lakini kiacheni kisiki na mizizi yake ardhini kikiwa na pingu ya chuma na ya shaba, katikati ya majani ya shambani. Na acheni umande wa mbinguni ukiloweshe, na acheni fungu lake liwe pamoja na wanyama wa mwituni mpaka nyakati saba zipite.”+
-