-
Danieli 11:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “Akiwa na jeshi kubwa, atakusanya nguvu zake na moyo wake dhidi ya mfalme wa kusini, naye mfalme wa kusini atajitayarisha kwa ajili ya vita hivyo akiwa na jeshi kubwa kupita kiasi, tena lenye nguvu. Naye hatasimama, kwa sababu watapanga njama dhidi yake.
-