-
Danieli 11:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “Naye ataamsha nguvu zake na moyo wake juu ya mfalme wa kusini kwa jeshi kubwa; naye mfalme wa kusini atajichochea kwa ajili ya vita kwa kutumia jeshi kubwa mno na lenye nguvu. Naye hatasimama, kwa sababu watapanga hila juu yake.
-