-
Mathayo 2:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Nao walipoenda ndani ya ile nyumba wakaona huyo mtoto mchanga pamoja na Maria mama yake, na, wakianguka chini, wakamsujudia mtoto. Pia wakafungua hazina zao na kumtolea zawadi, dhahabu na ubani na manemane.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Ziara ya wanajimu na njama ya Herode ya kuua (gnj 1 50:25–55:52)
-