-
Mathayo 2:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Lakini aliposikia kwamba Arkelao alitawala akiwa mfalme wa Yudea badala ya Herode baba yake, akawa aogopa kuondoka kwenda huko. Zaidi ya hilo, akipewa onyo la kimungu katika ndoto, akaondoka kuingia eneo la Galilaya,
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Familia ya Yesu inakaa Nazareti (gnj 1 59:34–1:03:55)
-