-
Mathayo 3:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Lakini Yohana huyuhuyu alikuwa na mavazi yake yakiwa ya nywele za ngamia na mshipi wa ngozi kuzunguka viuno vyake; chakula chake pia kilikuwa nzige na asali-mwitu.
-