-
Mathayo 3:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Yesu akamjibu: “Acha iwe hivyo wakati huu, kwa maana kwa njia hiyo inafaa tufanye yote yaliyo ya uadilifu.” Ndipo Yohana akaacha kumzuia.
-
-
Mathayo 3:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa kujibu Yesu akamwambia: “Acha iwe hivyo, wakati huu, kwa maana katika njia hiyo yafaa kwetu kutekeleza yote yaliyo ya uadilifu.” Ndipo akakoma kumzuia.
-