-
Mathayo 4:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro na Andrea ndugu yake, wakishusha wavu wa kuvulia samaki ndani ya bahari, kwa maana walikuwa wavuvi.
-