-
Mathayo 4:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Akiendelea mbele pia kutoka hapo akaona wengine wawili waliokuwa ndugu, Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana ndugu yake, katika mashua pamoja na Zebedayo baba yao, wakitengeneza nyavu zao, naye akawaita.
-