Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Alipofika upande ule mwingine na kuingia katika eneo la Wagadarene, alikutana na wanaume wawili waliokuwa na roho waovu wakitoka makaburini.*+ Walikuwa wakali sana, hivi kwamba hakuna mtu aliyekuwa na ujasiri wa kupita katika barabara hiyo.

  • Mathayo 8:28
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 28 Alipofika upande ule mwingine, kuingia katika wilaya ya Wagadarene, walikutana naye wanaume wawili waliopagawa na roho waovu wakitoka kati ya makaburi ya ukumbusho, wakali isivyo kawaida, hivi kwamba hakuna mtu aliyekuwa na moyo wa kupita katika barabara hiyo.

  • Mathayo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 8:28 w97 12/1 5

  • Mathayo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 8:28

      Yesu—Njia, uku. 114

      Mnara wa Mlinzi,

      12/1/1997, uku. 5

      7/15/1992, uku. 6

      5/15/1987, uku. 8

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki