-
Mathayo 9:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Ndipo Yesu akawaambia: “Marafiki wa bwana-arusi hawana sababu ya kuomboleza maadamu bwana-arusi yupo pamoja nao, sivyo? Lakini siku zitakuja wakati bwana-arusi atakapoondolewa mbali kutoka kwao, na ndipo watakapofunga.
-