-
Mathayo 11:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Na wewe, Kapernaumu, je, labda utakwezwa hadi mbinguni? Utateremka kuja chini hadi Hadesi; kwa sababu kama zile kazi zenye nguvu zilizofanyika katika wewe zingalifanyika Sodoma, lingalidumu hadi siku hiihii.
-