-
Mathayo 12:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Kwa kielelezo, yeyote yule asemaye neno dhidi ya Mwana wa binadamu, atasamehewa; lakini yeyote yule asemaye dhidi ya roho takatifu, hilo hatasamehewa, la, si katika mfumo huu wa mambo wala katika ule utakaokuja.
-