-
Mathayo 13:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Kwa maana moyo wa watu hawa umekuwa usioitikia, na kwa masikio yao wamesikia bila itikio, nao wamefunga macho yao; ili wasipate kuona kamwe kwa macho yao na kusikia kwa masikio yao na kupata maana kwa mioyo yao na kurudi, nami niwaponye.’
-